Dodoma. Serikali ya Tanzania imetangaza kusitisha mikutano ya hadhara kwa vyama vyote nchini kwa sababu ya kile ilichoeleza kuwa ni kuwepo kwa viashiria vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki ...
Monterrey, Mexico. Bao la dakika ya 63 la nyota wa Afrika Kusini, Thelapo Maseko dhidi ya Korea Kusini limetosha kuipeleka hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia ikiingana na wenyeji, Mexico, waliomaliza ...
Katibu wa Serikali anayeshughulikia Afya ya Akili nchini Ushelisheli, Bonyl Naiken. Dar es Salaam. Nchi za Afrika zimetakiwa kuongeza uwekezaji katika huduma za afya ya akili, kuboresha mifumo ya ...
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Mavere Tukai (kulia), akimkabidhi zawadi Waziri wa Afya wa Msumbiji, Ussene Isse, leo Juni 25, 2026, alipotembelea makao makuu ya MSD jijini Dar es Salaam ...
Atlanta, Marekani. Ushindi wa mabao 4-2 ilioupata timu ya taifa ya Morocco dhidi ya Haiti leo, umekifanya kikosi hicho kufuzu hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia. Katika mechi hiyo ya kundi C ...
Hong Kong. Gwiji wa filamu za mapigano duniani, kutoka Hong Kong, Jackie Chan, amewahi kueleza sababu za kutowaachia watoto wake sehemu ya utajiri wake unaokadiriwa kufikia dola 400 milioni za ...
Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo, Omar Said Shaaban akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi ndogo za Chama hicho Vuga, Zanzibar. Unguja. Mjadala kuhusu haki za Wazanzibari, ulinzi ...
Chunya. Mkazi wa Kata ya Chokaa, Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Almas Ramadhani (35), amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya shambulio la aibu dhidi ya mtoto wa ...
Kamishna wa Uhifadhi wa Tanapa, Musa Kuji. Arusha. Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) limeongeza idadi ya wanawake katika nafasi za juu za uongozi hadi kufikia asilimia 37, kiwango ...
Dar es Salaam. Bandari ya Dar es Salaam, imepanda nafasi 105 kwa ufanisi wa huduma zake, ikizipiku bandari kadhaa katika ukanda wa Afrika Mashariki, ikiwemo ya Mombasa nchini Kenya. Hiyo ni kwa mujibu ...
Dar es Salaam. Kauli ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny, kwamba aliwahi kufanya kazi na staa wa Marekani Jason Derulo kabla ya Diamond Platnumz, imezua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results